Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AELEZA DHAMANA WALIYONAYO MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KWA WANANCHI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, UTUMISHI Bw. Juma Mkomi akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene kwa ajili ya kufunga Semina elekezi iliyofanyika kwa muda wa siku tatu Jijini Dodoma kwa lengo la kuwawezesha Watendaji hao kutoa huduma bora kwa wananchi.