Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AELEZA DHAMANA WALIYONAYO MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KWA WANANCHI

Sehemu ya Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati akifunga Semina elekezi iliyofanyika kwa muda wa siku tatu Jijini Dodoma kwa lengo la kuwawezesha Watendaji hao kutoa huduma bora kwa wananchi.