Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AELEZA DHAMANA WALIYONAYO MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati akifunga Semina elekezi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara iliyofanyika kwa muda wa siku tatu Jijini Dodoma kwa lengo la kuwawezesha Watendaji hao kutoa huduma bora kwa wananchi.