Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA MAJENGO MENGINE YA WIZARA YANAYOJENGWA KATIKA AWAMU YA PILI YA UJENZI WA MJI WA SERIKALI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasalimiana na watendaji wa wizara mbalimbali waliojitokeza kumsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati akihitimisha ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ujenzi wa ofisi za wizara unaotekelezwa katika awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma