Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Mkurugenzi wa idara ya Uendelezaji Taasisi, Bw. Nolasco Kipanda kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma akitoa mada wakati akitoa Semina elekezi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.