Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akifungua Semina elekezi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi