Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi kabla ya kufungua Semina elekezi ya siku tatu kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi