Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Juma Mkomi akizungumza na Makatibu Tawala kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kufungua mafunzo kwa Watendaji hao Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.