Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwan Kikwete akizungumza na Makatibu Tawala kabla ya kumkaribisha Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim majaliwa kufungua Semina elekezi kwa Watendaji hao Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.