Habari
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Sehemu ya Makatibu Tawala wa WilayaTanzania Bara wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akifungua Semina elekezi iliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.