Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua Semina elekezi ya siku tatu kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.