Habari
WAZIRI MKUU AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA UTENDAJI

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Makatibu Tawala mara baada ya kufungua Semina elekezi ya siku tatu kwa Makatibu Tawala hao wa WilayaTanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.