Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiteta jambo na Katibu Mkuu wake, Bw. Juma Mkomi kabla ya kufungwa kwa mafunzo ya siku tatu kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) utakaosaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini