Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI


Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Mwalimu Paulina Nkwama akitoa maelezo ya awali kuhusu mafunzo ya Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu na Maafisa Utumishi kabla ya kufungwa kwa  mafunzo hayo ya siku tatu yaliyofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kusaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini