Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu na Maafisa Utumishi mara baada ya Waziri huyo kufunga mafunzo ya siku tatu kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) utakaosaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini