Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kufunga mafunzo ya siku tatu kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu na Maafisa Utumishi utakaosaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini