Habari
WAZIRI MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Sehemu ya Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu pamoja na Maafisa Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati akifunga mafunzo ya siku tatu kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) utakaosaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini