Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene wakati wa kikao kazi kilichofayika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao.