Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao mara baada ya kikao kazi huku akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia) pamoja na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw.Juma Mkomi (wa pili kushoto).