Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw.Juma Mkomi (katikati) wakiwa pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Mhandisi Benedict Ndomba mara baada ya kuwasili katika ofisi za eGA zilizopo jijini Dodoma kwa ajili ya kikao kazi.