Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Mhandisi Benedict Ndomba akielezea majukumu ya taasisi yake kwa viongozi wakuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiongozwa na Waziri Mhe. George Simbachawene.