Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika kikao kazi kilichofayika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao.