Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika kikao kazi kilichofayika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao ambapo amewataka kujikita kwenye ubunifu.