Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AHIMIZA UBUNIFU KWA WATUMISHI WA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) mara baada ya kuwasili katika kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao.