Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI JENISTA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MKAKATI WA KUBORESHA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI IKIWA NI UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Hassan Kitenge (Wakwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira kilichofanyika jijini Dodoma.