Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI JENISTA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MKAKATI WA KUBORESHA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI IKIWA NI UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN


Sehemu ya Watendaji wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watendaji hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.