Habari
WAZIRI JENISTA AMTEMBELEA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS NA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. CLEOPA D. MSUYA IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akimsalimia Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D. Msuya alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.