Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI JENISTA AFANYA KIKAO KAZI NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI.


Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi chake na wakuu hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.