Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI JENISTA AFANYA KIKAO KAZI NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na wakuu hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.