Habari
WATUMISHI WANAWAKE WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI CHEMBA JIJINI DODOMA

Baadhi ya Watumishi wa Umma Wanawake wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kimkoa leo Machi 8, 2022 jijini Dodoma.