Habari
WATUMISHI WANAWAKE WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA KIMKOA YA SIKU YA WANAWAKE WILAYANI KONDOA

Sehemu ya Watumishi wa Umma wanawake wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifurahia jambo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Kondoa jijini Dodoma.