Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI WANAWAKE WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA KIMKOA YA SIKU YA WANAWAKE WILAYANI KONDOA


Sehemu ya Watumishi wa Umma wanawake wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Kondoa jijini Dodoma.