Habari
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWAJIBIKA KATIKA KUSIMAMIA MIRADI ILI FEDHA INAYOTOLEWA NA MHE. RAIS ITUMIKE KULETA MAENDELEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (hawapo pichani), akiwa katika ziara yake ya kikazi yenye lengo kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma walio katika halmashauri hiyo.