Habari
WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA KIOO KATIKA KUZINGATIA MAADILI

Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao wa umma.