Habari
WATUMISHI WA UMMA TUNA DENI LA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI KWANI MHE. RAIS AMEBORESHA MASILAHI YETU - Mhe. Ndejembi

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi katika halmashauri hiyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.