Habari
WATUMISHI TAKUKURU WATAKIWA KUZIBA MIANYA YA RUSHWA KWENYE VYANZO VYA MAPATO VYA SERIKALI ILI VITUMIKE KUINUA UCHUMI WA TAIFA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa TAKUKURU wakati akifunga mafunzo ya ‘Intermediate Investigation Course’ kwa Wakuu wa Vitengo wa TAKUKURU Makao Makuu, Mikoa na Wilaya yaliyofanyika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere mkoani Pwani.