Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI TAKUKURU WATAKIWA KUZIBA MIANYA YA RUSHWA KWENYE VYANZO VYA MAPATO VYA SERIKALI ILI VITUMIKE KUINUA UCHUMI WA TAIFA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni (wa kwanza kulia) baada ya kuwasili katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani kufunga mafunzo ya ‘Intermediate Investigation Course’ kwa Wakuu wa Vitengo wa TAKUKURU Makao Makuu, Mikoa na Wilaya. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge.