Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAENDELEA KUIMARISHA AFYA KWA MAZOEZI ILI KUTOA HUDUMA BORA KAMA ILIVYOELEKEZWA NA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN


Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakishiriki mazoezi ya kuimarisha afya yaliyoongozwa na Naibu Waziri wa ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani (hayupo pichani) katika eneo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI lililopo Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.