Habari
WATUMISHI OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAENDELEA KUIMARISHA AFYA KWA MAZOEZI ILI KUTOA HUDUMA BORA KAMA ILIVYOELEKEZWA NA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani (mwenye nguo nyeusi ya mazoezi) akiongoza mazoezi ya kuimarisha afya za watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI yaliyofanyika katika ofisi iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.