Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUPATIWA MAFUNZO YA AKILI YA KUHIMILI HISIA BINAFSI NA ZA WATEJA ILI WAWEZE KUTOA HUDUMA BORA


Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Musa Magufuli akieleza namna watumishi walivyoyapokea mafunzo ya customer care na kuahidi kuyatumia kikamilifu katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wadau na wananchi.