Habari
WATAALAM WA TEHAMA SERIKALINI WATAKIWA KUPATA KIBALI CHA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO KABLA YA KUTEKELEZA MIRADI YA TEHAMA ILI KUTOPOTEZA MAPATO YA SERIKALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini jijini Dodoma.