Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WANANCHI WASISITIZWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akivishwa skafu na Mwanafunzi wa Skauti, Alice Nyambua wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo kwa mwaka huu yanafanyika nchini Tanzania,  Jijini Arusha,   kwa  lengo kutathmini mafanikio, changamoto na mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika,