Habari
WANANCHI WASISITIZWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA

Sehemu ya Menejimenti ya TAKUKURU wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo kwa mwaka huu yanafanyikia nchini Tanzania, Jijini Arusha,