Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WANANCHI WASISITIZWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene  pamoja na viongozi wengine wakiwa tayari kuanza matembezi ya hiari kabla ya kufungua Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo kwa mwaka huu yanafanyikia nchini Tanzania,  Jijini Arusha,   kwa  lengo la kutathmini mafanikio, changamoto na  mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika,