Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizungumza wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo kwa mwaka huu yanafanyikia nchini Tanzania, Jijini Arusha, kwa lengo la kutathmini mafanikio, changamoto na mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika,