Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WANANCHI TUMIENI HATIMILIKI ZA ARDHI MLIZOZIPATA KUPITIA MKURABITA KUJIKWAMUA KIUCHUMI-Mhe. Jenista


Wananchi wa Kijiji cha Karangai na Maweni, Halmashauri ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi ya Waziri Jenista iliyolenga kukagua utekelezaji wa shughuli za MKURABITA katika Halmashauri hiyo.