Habari
WANANCHI TUMIENI HATIMILIKI ZA ARDHI MLIZOZIPATA KUPITIA MKURABITA KUJIKWAMUA KIUCHUMI-Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Karangai na Maweni, Kata ya Kikwe, Halmashauri ya Wilaya ya Meru, mkoani Arusha wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa shughuli za MKURABITA katika Halmashauri hiyo.