Habari
WANANCHI 72,000 KUNUFAIKA NA KITUO CHA AFYA KINACHOJENGWA KUPITIA MIRADI YA TASAF WILAYANI KWIMBA

Mkurugenzi wa Miradi ya Jamii-TASAF, Bw. John Stephen akitoa salamu za TASAF kwa wananchi na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Kijiji cha Budushi, Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.