Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WANAFUNZI UDOM WAASWA KUISHI KWA KUZINGATIA MAADILI ILI KUTIMIZA MALENGO YAO KITAALUMA NA KUJENGA TASWIRA NZURI YA CHUO


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na Jumuiya wa Wanafunzi Wapinga Rushwa ya Chuo Kikuu Dodoma mara baada ya kufungua Kongamano la Kukuza Maadili na Elimu ya Mapambano Dhidi ya Rushwa lililofanyika katika ukumbi wa Chimwaga Jijini Dodoma.