Habari
WANAFUNZI UDOM WAASWA KUISHI KWA KUZINGATIA MAADILI ILI KUTIMIZA MALENGO YAO KITAALUMA NA KUJENGA TASWIRA NZURI YA CHUO

Baadhi ya Wanafunzi na Watumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza nao wakati akifunga Kongamano la Kukuza Maadili na Elimu ya Mapambano Dhidi ya Rushwa katika ukumbi wa Chimwaga Jijini Dodoma.